Thursday, May 17, 2012

Hakuna washiriki wanaomake headlines sasa hivi kwenye jumba la Big Brother kama Barbz wa Afrika Kusini na Prezzo wa Kenya.
Juzi walikuwa wamekaa pamoja na kutupiana maneno ya dharau, huku Prezzo akimkejeli Barbz kwa maneno ya sumu.
“Tafadhali nenda kapark vitu vyako, nakurahisishia mambo na please ukienda nje feel free kunipigia kura, najua itaguwa ngumu, naelewa, (Barbz anataka kuongea) Prezzo anaendeele, “sikiliza, usiseme kitu, naelewa itakuwa ngumu, lakini nenda huko na unipigie kura na nikitoka ntakununulia miwani na ntamwambia rafiki yangu akupe mimba sababu una miaka 34. Unatakiwa kujionea aibu mwenyewe! Ukifikisha miaka 35 hakuna mwanaume atakayetaka kukuoa”
Wakati Prezzo akiongea hayo, Barbz alikuwa akimwangalia kwa dharau na kumwambia Yeah, Prezzo oooooooh maneno yako ni dhahabu” Prezzo akamwambia Barbz kuwa hawezi kutafuta msichana mwenye umri kama wake bali atafuta wenye miaka 27 ama 28. Barbz akamuuliza “and who is looking for your ass? “Ninafamilia tayari” alisema Prezzo. hapo” “Am not looking, Look at your ass” alisema barbz.
Kama kawaida yake ya kujisifia ilivyo, Prezzo alimwambia Barbz kuwa mwanae anasoma kwenye shule ya gharama kabisa nchini Kenya. Barbz akaanza kumwimbia kwa dharau Go! Kenya Go! Kenya! Kwa dharau Prezzo akamwambia “Ndio Kenya iko nyuma yangu lakini kinachosikitisha sana ni kuwa hakuna aliye nyuma yako mpendwa” Barbz akajifanya analia “ oooh poor me ehe ehe ehe”!
— with Duppa Uplandsfm

No comments:

Post a Comment