Friday, May 18, 2012

Bishosti "Mwasiti" anayewakilisha jumba la vipaji Tanzania THT,ametoka na wimbo wake mpya ikiwa ni muda mfupi tu tangu atoke na wimbo wake unaoitwa "kisima".Kitendo cha mwanadada huyo wa THT kutoa wimbo wake huo mpya ambao kamshirikisha msanii mwenzake wa THT Ally Nipishe kumewapa maswali mengi baadhi ya mashabiki zake huku wengine wakizidi kusema kwamba huenda mdada huyo atakuwa ameshaanza kufail kimuziki.....Hii ni ngoma yake mpya inayoitwa "Mapito",unadhani kwamba utamrudisha katika level zile??

No comments:

Post a Comment