Tuesday, June 19, 2012

Mr Blue APATA MTOTO WA KIUME.


 Muda huu nimepata simu kutoka kwa Mr. Blue na kuniambia kuwa yule mpenzi wake ambaye alikuwa na mimba anakwenda kwa jina la Wahida majira ya jana usiku kuamkia leo alijifungua mtoto wa kiume. Blue amesema mtoto huyo ameamua kumpatia jina la SAMEER. Amesema sababu ya kumpa jina hilo la SAMEER ni kwasababu analipenda sana jina hilo na amesema kama mtoto huyo angekuwa wa kike basi angempa jina la mama yake kwasabu analipenda sana. Pia Amesema kuwa Ataki Mwanae Ajiingize katika Swala la musiki kwa sababu ataki mtoto wake awe maarufu.

No comments:

Post a Comment