Tuesday, June 19, 2012

MZEE WA "BANJUKA" AIKACHA GOSPEL ARUDI TENA KWENYE GAME


 Habari kubwa upande wa mziki nchini kenya ni kuhusu msanii wa hit ya Banjuka DNA ambae aliokoka na kujitoa katika mziki wa kidunia miaka kadhaa iliyopita weekend hii ametangaza kurudi tena rasmi katika mziki huo na tayari kaachia wimbo unaoitwa "MASWALI YA POLISI". nitakuwa kini perfom baadhi ya nyimbo zangu za zamani pamoja na impya na nitakua nikifanya kazi na GrandPa records ambao wanajua kusimamia wasanii. alipoulizwa kuhusu kazi zake alizokuwa akizirecord kwa miaka yote hiyo miwili tangu alipoondoka katika mziki wa dunia DNA alisema" kazi hizo hazitakuja kuona mwanga maana sasa he is into others kama ma club bangers na mengineyo.

No comments:

Post a Comment