Saturday, September 8, 2012

BYE BYE FUNDI SAMWELI


Producer na muimbaji wa Studio za Usanii Production Fundi Samweli anatarajiwa kuondoka nchini mwezi ujao.Habari nilizozipata ni kwamba Producer huyo ataondoka na mke wake anaejulikana kwa jina la Sarah ambae amefanya vzur ktk ngoma ya Akili.
Taarifa nyingine zinaeleza kua Fundi Samwel hatorudi Tena Tanzania na Studio hizo kwa wakati huo zitakua chini ya Producer ZIDADY.

                           Sarah  & Fundi Samweli  

No comments:

Post a Comment