Showing posts with label MICHEZO. Show all posts
Showing posts with label MICHEZO. Show all posts

Sunday, June 24, 2012

England suffered penalty agony once more as Italy won a shoot-out after the Euro 2012 quarter-final finished goalless in Kiev

Italy win 4-2 on penalties

Italy were vastly superior to England over the course of 120 minutes - but the resilience and organisation that have swiftly become the trademark under new manager Roy Hodgson took an enthralling game to penalties.
And, as on five of the previous six occasions England have entered this sudden-death environment, they were left heartbroken, with Italy confirming a semi-final meeting with Germany in Warsaw on Thursday.
England captain Steven Gerrard and Wayne Rooney were successful from the spot, but Ashley Young struck the bar and Ashley Cole's effort was saved by Italy keeper Gianluigi Buffon.

Mario Balotelli scored Italy's first spot-kick but Riccardo Montolivo's miss gave England hope that was cruelly snatched away as Andrea Pirlo audaciously chipped in his spot-kick and Antonio Nocerino coolly slotted home before former West Ham midfielder Alessandro Diamanti scored the decisive penalty.
England cannot complain that the better team did not emerge as winners - but even in the face of a constant wave of Italian attacks Hodgson's men still showed enough heart and durability to make their Euro 2012 exit with pride.

As Italy subjected them to what was almost torture by possession, England's back four and goalkeeper Joe Hart responded magnificently by erecting a wall of defiance, with John Terry outstanding.
England will head for home on Monday after a campaign they can reflect on with a measure of satisfaction despite the disappointment. Hodgson - at short notice - marshalled his forces effectively but the gulf in class with Italy was clear and his team looked jaded long before the end.
Hodgson will now take stock of events in Ukraine, where England drew with France and won against Sweden and Ukraine to top Group D, as he plots the qualifying campaign for the 2014 World Cup in Brazil.

Friday, June 22, 2012

MWANAMUZIKI HUSSEIN MACHOZI AMETANGAZA KUAMIA KENYA


Mwanamuziki wa Tanzania aliyetamba na vibao kama ‘Kwaaajili Yako’ na ‘Full Shangwe’ Hussein Machozi, amesema anafikiria kuhamia kabisa Kenya kwakuwa anahisi muziki wake unathaminiwa zaidi huko kuliko nyumbani.
Akijibu swali  lililotaka kufahamu kama ana mpango huo kwakuwa ni muda mrefu sana sasa amekuwa akiutumia nchini Kenya kuliko Tanzania, Machozi alisema,”Yap naona pananifaa sana kwa muziki wangu ambao hauna unafiki si unajua watu wa huku sio wanafiki.”
Kwanini anasema Tanzania kuna unafiki? “Okay, watu wa media hawako free kabisa yaani huwa wanafuata upepo wanapoanzisha wale wenye nguvu. Yaani wakitaka kumtoa mtu wao na media zingine zinafuata wala hawashtuki kuwa analazimishwa atoke, wakati kuna ngoma kibao kali wanazipotezea ili mtu wao apite. Matokeo yake wanatoaga ngoma moja inahit baada ya hapo ni pumba tupu. Huwa inaniuma sana.”
“Kwa kenya mambo hayo hakunaga asee! Huku kama ngoma ni kali basi itatandikwa hadi noma, ila kama ni mbaya huwezi hata kuiskia. Nakubalika huku coz ngoma zangu ni kali na zina kichwa na miguu namaanisha wimbo uko na story ya kufuatilia na inaskilizika na rika zote, nadhani hii ni sababu tosha sana,” alisema Machozi.
Msanii huyo tayari ameshafanya ngoma na wasanii wa Kenya wakiwemo Habida,Size 8 na DNA

Friday, June 15, 2012

NDOA YA H-BABA, FROLA UTATA



























Ndoa ya nyota wanaotamba kupitia fani ya muziki na filamu Bongo, Hamis Ramadhan Baba, ‘ H-Baba’ na Frola Mvungi, bado iko gizani kufuatia, kijana huyo kushindwa kufikia uamuzi. Akizungumza ‘live’ na mtandao namba moja kwa stori za mastaa (Teentz.com) H-Baba amesema kuwa hana uhakika kama jambo hilo linaweza kupewa nafasi hivi sasa kwa kuwa kuna mambo mengi yanyomfanya kushindwa kufikia uamuzi wa kufunga ndoa na mwigizaji huyo “Bado kuna utata, sijafikia uamuzi wa kufanya jambo hilo hivi sasa, sitaki kusema sana kwa sababu najua kuna watu ambao wanajaribu kuingilia uhusiano huu, ki ukweli sijafikia uamuzi kuna mambo madogo madogo bado nayachunguza kwa mwenzangu na wakati ukiwadia basi kila kitu kitakuwa wazi” alisema H-Baba aliyeingia kwenye uhusiano na Frola mwaka mmoja uliopita.

Thursday, June 14, 2012

Roki alienda BBA kusafisha nyota yake ya muziki Shindano la Big Brother Africa siku zote huwa ni jukwaa zuri kwa washiriki kutafuta exposure ya maisha yao ya baadaye. Washiriki wengi hata wale ambao hawakushinda leo hii wako sehemu nzuri na maisha yamebadilika. Wapo waliogeuka watangazaji wa radio ama TV, wapo waliopata deal za matangazo, umodel, movie nk, kutegemea na ushapu wa kila mmoja. Hivyo kila mshiriki huenda mle kwa malengo yake binafsi. Kuna wale ambao huenda wakijua tu kwamba kupata zawadi ya mwisho si kitu rahisi lakini kile kipindi cha miezi kadhaa mjengoni huwapa umaarufu barani Afrika. Ni rahisi kufanikiwa kwa mambo yao baada ya kuwa maarufu. Mwanamuziki wa Zimbabwe Roki anasema aliamua kwenda Big Brother ili kuongeza umaarufu wake. “Walau nikitoka nje ya nyumba hii itakuwa rahisi kwangu kumfuata msanii mwingine wa Afrika kupiga collabo kwakuwa watakuwa wameskia baadhi ya nyimbo zangu zikichezwa hapa na pia kunifahamu.Pia Napata nafasi ya kuwafahamua wasanii wengine wa Afrika.” Lakini kwa msanii huyu, hiyo ni fursa kwake pia kuondoa mtazamo wa mashabiki kuhusu yeye kwakuwa ameharibu CV yake sana huko nyuma.Kuanzia kumshambulia mke wake mpaka kutumikia kifungo cha nje baada ya kupatikana na hatia ya kumiliki bangi na mambo mengine yaliyochafua jina lake. Pia ana watoto watano ambao kila mmoja ana mama yake. Na hao ni wale tu ambao wanafahamika. Kwa kuonekana kwa saa 24 kwenye kamera za BBA meneja wake Bybit Areketa anasema kuwa ni nafasi ya kwake kufufuka tena kwa heshima yake na sio kama mtumiaji wa madawa, mzinzi na mpiga wanawake.